Karibu VIWAWA Tanzania — jukwaa la kijana Mkatoliki kukua kiroho, kupata taarifa za parokia/kigango, matukio, ajira, mafundisho, e-library, media na kushirikiana na vijana wengine.
One platform for parish youth engagement.
Jisajili kupitia parokia/kigango kilichothibitishwa.
Tazama na jisajili kwenye matukio ya VIWAWA.
Vitabu, Katiba, miongozo na mafundisho.
Ajira, internship na job application tracking.
Picha, video na audio za kumbukumbu.
Unganisha vijana na Radio Maria Tanzania.